Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mzee Sumaye aliwajengea chadema ofisi nzuri tu ya chama sasa hivi iko giza wameshindwa kununua umeme wa luku
uchaguzi itakuwaje ?
Kawaweke umeme basi mzeeMzee Sumaye aliwajengea chadema ofisi nzuri tu ya chama sasa hivi iko giza wameshindwa kununua umeme wa luku
uchaguzi itakuwaje ?
CCM hamna hoja za maendeleo?, kesho utasema umemuona mkiti wa CDM kavaa shati halija nyooshwa pasi, lol, firisika mali usifirisike akili.Mzee Sumaye aliwajengea chadema ofisi nzuri tu ya chama sasa hivi iko giza wameshindwa kununua umeme wa luku
uchaguzi itakuwaje ?
ruzuku mabilioni mumepata mnashindwa kununua hata umeme wa elfu moja uwake computer zifanye kazi na mashine za photocopyhangaika na ya kwenu miaka mitano inaisha hakuna la maana mmefanya kuleta maendeleo zaidi ya kupandikiza chuki
Sumaye alijenga OFISI wapi?Mzee Sumaye aliwajengea chadema ofisi nzuri tu ya chama sasa hivi iko giza wameshindwa kununua umeme wa luku
uchaguzi itakuwaje ?
Hivi kamanda mbowe anapelekaga wapi pesa za michango na ruzuku?Mzee Sumaye aliwajengea chadema ofisi nzuri tu ya chama sasa hivi iko giza wameshindwa kununua umeme wa luku
uchaguzi itakuwaje ?
Mmeitelekeza mkuu sababu ya bills ndio maana hujui...Sumaye alijenga OFISI wapi?
Chama cha makambare yote yana ndevu!Mzee Sumaye aliwajengea chadema ofisi nzuri tu ya chama sasa hivi iko giza wameshindwa kununua umeme wa luku
uchaguzi itakuwaje ?
Imetelekezwa wapi?Njoo na facts kuliko porojo za kupata buku 07Mmeitelekeza mkuu sababu ya bills ndio maana hujui...
ruzuku mabilioni mumepata mnashindwa kununua hata umeme wa elfu moja uwake computer zifanye kazi na mashine za photocopy
Yaani wafanyakazi wanakosa kaumeme hata ka ku chaji simu zao,Mbona mnawapa mazingira magumu ya kazi
safi sisi kama CCM tunatàka CHADEMA ife wewe ikikosa umene inakuuma nini?Mzee Sumaye aliwajengea chadema ofisi nzuri tu ya chama sasa hivi iko giza wameshindwa kununua umeme wa luku
uchaguzi itakuwaje ?
Ng'ombe za Lumumba zina wivu kama mke mwenza.CCM hamna hoja za maendeleo?, kesho utasema umemuona mkiti wa CDM kavaa shati halija nyooshwa pasi, lol, firisika mali usifirisike akili.
hangaika na ya kwenu miaka mitano inaisha hakuna la maana mmefanya kuleta maendeleo zaidi ya kupandikiza chuki
kudharau na kupuuza walemavu ipo kwenye katiba na ilani ya chama chenu. majibu yako hayashangazi.Sasa kama upo kipofu utaonaje yaliyofanika?
Ni haki yako kutokujua nini kimefanyika maana huoni.
Acha uongo wee pimbi..uzr Niko humu humu ofcn hapa magomeni..umeme?? wee kenge kbs...ambao hata sh 10000 tu unakaa wk ndo tushindwe ??? haya nenda kachukue bk 7 bc watoto wako waeende chooMzee Sumaye aliwajengea chadema ofisi nzuri tu ya chama sasa hivi iko giza wameshindwa kununua umeme wa luku
uchaguzi itakuwaje ?