Ajali ya moto hapa ni Faulu microfinance Shekilango - DSM - Tanzania muda wa tukio ni saa kumi jioni kwa saa za Afrika mashariki. (16:00eat) mashuhuda wamemwambia mwandishi wa mtawala radio kuwa chanzo cha moto huo ni shoti ya umeme. "Chanzo ni shoti ya umeme na shoti hiyo iliyoanzia ofisi ya faulu microfinance mtu mmoja ambaye inasemekana ni fundi amepelekwa hospitali Palestina baaada ya kupigwa na shoti katika ofisi ya Faulu microfinance. Jeshi la zimamoto na uokoaji limeshawasilii eneo la tukio