Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwaka gani mkuu?Jengo lote hilo wanalipa laki mbili kwa mwezi?
Mwamba aendelee tu kupumzika kwa amani![]()
Kuna msemo unasema asiyekuwepo na lake halipo. Wengi tunamkumbuka mwigizaji marehemu kanumba alivyobadili mchezo wa bongo movies mpaka kuwa ni tasnia yenye kukimbiliwa na wengi. Sasa habari tulizozipata ni kuwa ile ofisi yake aliyoiacha baada ya kufariki dunia, mama Kanumba na wadogo zake waliohidi kuiendeleza wameshindwa na wameamua kuifunga baada ya kukosa kodi ya kulipia jengo.
Mama Kanumba amekaririwa akisema kwa sasa kodi ni laki sita hela ambayo wameshindwa kuilipa kwani Kanumba aliacha kodi ilikuwa laki mbili.
Toka Kanumba afariki, ofisi hiyo iliweza kutoa filamu mbili tu na ambazo hazikufanya vizuri sana katika soko.