Ofisi ya Kanumba "Kanumba the great Film" yafungwa rasmi!

Jengo lote hilo wanalipa laki mbili kwa mwezi?
 
Mwamba aendelee tu kupumzika kwa amani
 
Mama yule nae alizidi ujuaji mpaka ikafikia hatua nae akaanza kuigiza alipoona upepo unakata akaanza kumuibukia mama Gizo speaker utafikiri atamfufua mwanae basi tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…