Ofisi ya Kanumba

Vaislay

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2011
Posts
4,532
Reaction score
1,829
Hivi najiuliza sana ile ofisi ya Kanumba mdogo wake Seth alidai anaiendeleza na wakaja watoto wengine wa yule baba yao wakajidai wamejipanga kuendeleza mtanange,

HIvi imeishia wapi mana hata muvi zenyewe hatuoni...HAIJAFUNGWA KWELI na vifaa kuuzwa?
 
wewe una ofisi?
 
Hivi najiuliza sana ile ofisi ya Kanumba mdogo wake Seth alidai anaiendeleza na wakaja watoto wengine wa yule baba yao wakajidai wamejipanga kuendeleza mtanange,

HIvi imeishia wapi mana hata muvi zenyewe hatuoni...HAIJAFUNGWA KWELI na vifaa kuuzwa?
ukishajua ipo utafanyaje?
 
Wliseama wahenga........ASIYEKUWEPO NA LAKE HALIPO.
 
ndio tatizo la kutokuwa na management ilo kila kitu alikuwa anafanya yeye mwisho wa siku ameondoka hamna anayeweza kujua kilichokuwa kinafanyika. Tujifunze tuliobaki ili kama siku ukiwa haupo kampuni iendelee kuwepo ingawa haitamfaidisha yeye
 
mtu akishakufa mara nyingi hata miradi yake hufa...

Hii ni kwa africa ila kwa mbele mambo yanaendelea.

mfano angalia makampuni makubwa yote yaliosambaa duniani, waanzilishi wameshakufa ila legacy ianendelea
 
mie nilipita pale panatia huruma nadhan hata kama panafunguliwa itakuwa mara chache

Seth aliwahi kusema kila mtu ana mipango yake na hawez kuwa kama kanumba, nadhan walitoa movie kama mbili ivi ile ya malaika n movie gan cjui, ofis kufungua anafunguag sema mara nying anakuwag ndan cjui anafanyag nn, maan mchan tunakuwaga nae meeda lunch
 
duh mazeeeee...kha..we nani aiseee?????
 
tatizo letu waafrika ni ubinafsi, watu hawajiamini kabisa kuweka wazi mipango na ndoto zao na ni vipi watafanya ili kutimiza ndoto hizo...
watu ni lazima waangalie kwamba ikiwa watatangulia mbele ya haki ni nani hasa atasimamia miradi yake, na akishamfahamu ni vema akaanza kumuandaa taratibu kwa kumshirikisha katika baadhi ya mambo.
pia sio muhimu kwa huyo mtu kujua kama unamuandaa kwa ajili hiyo, yeye ajue tu kuwa unamuamini kiasi cha kumshirikisha katika shughuli zako za kimaendeleo.
 
Leo hii angalia waanzilishi wa Hotel zenye chain kubwa ulimwenguni,mitandao,pombe,magari asilimia kubwa hawapo lakini mpaka leo products zao zinafanya vizuri ktk level kubwa zaidi tatizo ni ubinafsi na mipango tasa tuliyonayo ndo inayopelekea kukwama once owner anavyokufa tu product zinakufa
 
Kuna usemi huu wa kiswahili ,utasikia nawewe katafute mali yako au nunua gari lako ndio ujifundishe kuendesha ,sasa shughuli akiugua hela ianaisha na hata mtu wa kuendesha gari kumpelekahospitali anakuwa hayupo.Na yote hiyo ni ulimbukeni wa sisi waafrikalinapokuja swala la biashara au mali,tupo tofauti na wahindi,kwamfano akina Mo au Manji hizo biashara walianzisha baba zao na sasa wao ndio wanaziendesha baadaye nao watakaa pembeni watoto wao ndio watakao ziendesha,lakini sio sisi ,ukiondoka na biashara au mali zinaondoka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…