Ofisi ya kukopesha fedha mikopo midogomidogo

Joined
Oct 21, 2018
Posts
68
Reaction score
25
Naomben mawazo kwa weny uzoefu au wanaofanya bznez hii. Ninataka kufungua kampuni ya kukopesha je nizingatie nn na niepuke kipi
 
Mkuu ili kupewa ushauli professional kuna gharama zake Kwani kuna mambo kibao ya kukushauli kuhusu biashara ya microfinance kama upo interested njoo PM tupeane number upewe ushauli professional kwa masaa mawili
 
Ok mkuu naja
 
Back
Top Bottom