Ofisi ya kutengeneza simu na TV

Ofisi ya kutengeneza simu na TV

dicloppa

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2016
Posts
278
Reaction score
407
Wakuu naamini humu kuna watu wengi sana wanaomiliki ofisi za kutengeneza simu mbali na Kariakoo yaani huku mitaani.

Sasa hitaji langu mimi ni kufungua ofisi ya ufundi wa SIMU na LED TELEVISION

Naombeni muongozo na namna nzuri ya kuifanya kazi hii

Naomba kuwasilisha!!
 
Hujasema kama huo utaalamu wa kutengeneza simu na TV uko nao tayari au ndio unataka kujifunza?na kama uko na huo utaalamu tayari uzoefu wako ni wa miaka mingapi?Na kama tayari uko na uzoefu tayari ni wapi unapokwama ili usaidiwe?Mimi naona ubora wa kazi yako na uaminifu tu ndio mafanikio yako sioni kingine cha kusaidiwa hapo
 
Back
Top Bottom