PreGE2025 Ofisi ya Mbunge jimbo la Temeke linawakumbusha wananchi kujiandikisha kwenye Daftari la Maboresho la Mpiga kura

PreGE2025 Ofisi ya Mbunge jimbo la Temeke linawakumbusha wananchi kujiandikisha kwenye Daftari la Maboresho la Mpiga kura

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Egnecious

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2015
Posts
899
Reaction score
999
Mnakumbushwa Ndugu Wananchi wenye vigezo kujiandisha isije fika October mnaanza kelele kura zenu zimeibiwa kumbe hamkujiandikisha
IMG-20250318-WA0008.jpg
 
Wanao andikisha hapo minazini pr. Kurasini wajitathmin uwezo mdogo san
 
Zoezi la kupoteza fedha na muda wakati anayeshinda anajulikana tayari kwa msaada wa vyombo vya dola.
 
Back
Top Bottom