Ofisi ya msajili ni moja ya taasisi mizigo kwa taifa na walipa kodi

kagoshima

JF-Expert Member
Joined
Dec 31, 2015
Posts
3,528
Reaction score
6,856
  • Malengo ya kuanzishwa ofisi ya msajili vyama vya siasa hayajawahi fikiwa na hayatofikiwa .
  • taswira ya sasa ni kwamba msajili wa vyama vya siasa yupo kwa ajili ya kuhujumu chama chenye nguvu ya ushindani dhidi ya ccm.
*Kwasasa msajili yuko bize kuihujumu CHADEMA huku akifumbia macho madaifu yaliowazi huko CCM

*Sasa basi, haiwezekani ofisi ya msajili vyama iigharamiwe bilions of money kwa mishahara, j na shughuli za ofisi bila kuwa na tija kwa taifa,

* Tuendelee kupatia hii ofis kodi zetu sorely ajili ya kupambana na chadema?? What a wastage of resources
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…