Ofisi ya Msajili wa Ndoa nchini Kenya imeanza kuchapisha mtandaoni taarifa za wanandoa watarajiwa ikiwemo majina na picha

Mindyou

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2024
Posts
2,536
Reaction score
7,194
Wakuu,

Ofisi ya Msajili wa Ndoa nchini Kenya imeanza kuchapisha mtandaoni majina, picha, tarehe na maeneo ya harusi za wanandoa watarajiwa kupitia jukwaa la serikali la eCitizen, hatua ambayo imeibua mshangao na mjadala miongoni mwa wananchi.

Awali, utaratibu huo ulikuwa wa kawaida ambapo wanandoa walitakiwa kuwasilisha Notisi ya Ndoa (Notice of Marriage) ambayo ilikuwa inabandikwa kwa siku 21 katika mlango wa ofisi ya Msajili wa Ndoa, ili kutoa fursa kwa mtu yeyote mwenye pingamizi la kisheria kuwasilisha malalamiko yake.

Lengo la kutoa taarifa kwa umma bado lipo, lakini mabadiliko ya mfumo yamejumuisha maelezo zaidi, ikiwemo picha za wapendanao, tarehe na mahali pa kufanyika kwa harusi — jambo ambalo halikuwahi kuwa sehemu ya tangazo la awali.

Ili kupata kibali cha ndoa nchini Kenya, wahusika wote wawili wanatakiwa kuwasilisha kitambulisho cha taifa au pasipoti, pamoja na picha ndogo za hivi karibuni. Endapo mmoja wao ni raia wa kigeni, anatakiwa kuwasilisha pia kibali cha kuingia nchini (visitor’s permit) au uthibitisho wa makazi, pamoja na kiapo kinachothibitisha kuwa hana ndoa nyingine inayoendelea.

Sheria ya Ndoa ya Kenya inatambua ndoa tano: ya Kiraia, Kikristo, Kiislamu, Kihindu na ya Kimila. Ndoa hizi zinaweza kufungwa kati ya raia wawili wa Kenya, raia wa Kenya na mgeni, au wageni wawili wanaotaka kufunga ndoa nchini humo.

Wakati serikali ikisisitiza kuwa hatua hii inalenga kuongeza uwazi na kurahisisha huduma, baadhi ya wananchi wameeleza wasiwasi wao kuhusu masuala ya faragha na usalama wa taarifa binafsi

=======================

registrar.jpeg

Kenyans have reacted with shock following revelations that personal details of couples planning to wed, including names, photos, and wedding dates, are now publicly accessible on the eCitizen platform.

The development, which first gained traction on social media, marks a significant shift from the traditional process by the Registrar of Marriages, where such information was not made available online.

Taking to various platforms, concerned citizens raised questions over the legality of the move, citing possible violations of Kenya’s Data Protection Laws as enshrined in the Constitution.

Some users, in a humorous tone, warned that the disclosure could trigger drama in romantic relationships, particularly those shrouded in secrecy.

Many shared stories of discovering online that their partners were either married or about to tie the knot, shattering illusions of exclusive relationships. For some, it was how they uncovered affairs they never suspected.

“The Registrar of Marriages now posts names, photos, and wedding dates of soon-to-be-weds online. If someone suddenly disappears, check here first. Viewer discretion advised,” one X user quipped.

Now, this notice has gone digital. While the goal of notifying the public remains, the format has changed. The inclusion of photographs, wedding dates, and venues, however, is a new and controversial twist.

To be eligible for a marriage license in Kenya, both individuals must present either a Kenyan ID or a passport, along with recent passport-sized photos. If one is a foreign national, they must also submit a visitor’s permit or proof of residence. An affidavit confirming that neither party is currently married is also required.

Source: Tuko Kenya
 
Haya sasa wana ndoa, mnasomeka kwa radar
 
bado sisi msimamo wetu uko pale pale wa kataaa ndoaa 😄

 ova
 
Back
Top Bottom