Kama rais Samia ni halali msajili wa vyama vya siasa unapaswa ujiulize kwanini alikwenda kuapishiwa kwenye kambi ya jeshi?
Sasa sikiliza umesema haya matamshi ya viongozi wa Chadema ni matamshi halali,je uliwahi kusikiliza matamshi halili kutoka kwenye chama chako cha Mapinduzi?
Kauli ngapi sa kuhatarisha usalama wa nchi zimetolewa na chama cha Mapinduzi za wanachama wake za vijana wake wa CCM kuwataka kuwavunja miguu wapinzani . Mwenyekiti wa UVCCM mkoa wa Kagera alisema vijana wakipotea polisi wasiwatafute watakuwa wamewapoteza wao.
Aliyekuwa mwenyekiti UVCCM Taifa Bwana Heri James alisema sasa hivi awatodili sana na wanaokosoa serikali watawachoma sindano za sumu na watapoteza maisha, hizo ujaziona?
Makala alishawahi kusema
Pesa kupitia tonetone unaenda kununuloa virusi vya ebola na dengua
Alifanywa nn na huyo msajili?
Kwa zaidi ya miaka 30 ya mult party ameiandikia ccm mar ngapi na chadema mara ngapi?