Ofisi ya msajiri wa NGOs bado haiendani na spidi ya awamu ya tano ya Magufuli

Ofisi ya msajiri wa NGOs bado haiendani na spidi ya awamu ya tano ya Magufuli

Alikutana na wababaishaji. Na labda alikuwa hajakamilisha documents ...


Inabidi uende wizarani na

1. Katiba ya NGO
2. Cv za founders (Not less than 5 members )
3. Muhtasari wa kuanzisha NGO
4. TRA stamp
5. Barua ya utambulisho kutoka mkoani kwako (Barua hutolewa na ofisi ya Maendeleo ya Jamii mkoa )


Ukiwa na hizo documents cheti unaweza kupewa siku hiyo hiyo.
Unadanganya siyo rahisi kihivyo.
Itakua upo hiyo ofisi au umesimuliwa. Sisi wateja tumekamilisha na bado hakuna hatua yoyote.
 
Watanzania sijui hii tabia ya kujifanya unajua kila kitu itakuja kuisha lini !! Hunijui Wala sikujui ila unaniita eti nadanganya ...


Mimi Nina NGO Kama nne tangu Niko chuo NGO yangu ya mwisho nimesajiri mwaka Jana December na sikutumia hata siku tatu ...


Kitu Kama hujui uwe unasema uelekezwe ndugu yangu.View attachment 1487987
Umedanganya tena.
Kwanini lakini?
 
Umedanganya tena.
Kwanini lakini?
Una kichaa wewe sio bure , sishangai kwanini hata msajiri wa NGO hakupi hiyo certificate. Haustahili kuwa na NGO wewe kichwa chako hakiko sawa.


Nikudanganye wewe ili iweje ?
 
Una kichaa wewe sio bure , sishangai kwanini hata msajiri wa NGO hakupi hiyo certificate. Haustahili kuwa na NGO wewe kichwa chako hakiko sawa.


Nikudanganye wewe ili iweje ?
Hili lina maana kuliko zile chai zako.
Jamaa muongo sana wewe.
 
Back
Top Bottom