Ofisi ya Mwenyekiti wa vilabu Africa, Eng Hersi Sasa itakuwa Marakesh Morocco

ngara23

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2019
Posts
9,091
Reaction score
21,087
Morocco imechaguliwa kuwa Makao Makuu ya Chama kipya cha vilabu vya Afrika kinachoongozwa na Eng.Hersi Said.

Baada ya mchakato wa ushindani wa zabuni uliohusisha Afrika Kusini, Morocco, na Algeria, Morocco iliibuka kuwa chaguo la pamoja wakati wa mkutano wa bodi ya ACA uliofanyika jana.

Makao Makuu ya ACA yatakuwa Rabat, karibu na ofisi za shirikisho la soka la Afrika (CAF) na FIFA. Eneo hili la kimkakati litaimarisha ushirikiano na kuchangia ukuaji wa soka barani, huku Morocco ikiendelea kuchukua jukumu muhimu katika maendeleo ya soka duniani.

Kufuatia Mkutano huo, ACA ilituma barua kwa Rais wa shirikisho la soka la Morocco, Bw. Fouzi Lekjaa, kuwapongeza kwa kufanikisha zabuni hiyo.

Hii itawapa watendaji wa ACA fursa ya kuwasiliana na maafisa wa FIFA, CAF,kuhusu masuala yanayohusiana na vilabu.

Tumewazidi mbali sana
Yanga bingwa
 
Huko kimataifa connection waliyo nayo Simba itabibi ipite miaka 10 ndio yanga walau wanaweza kuwakaribia simba
 
Morocco imechaguliwa kuwa Makao Makuu ya Chama kipya cha vilabu vya Afrika kinachoongozwa na Eng.Hersi Said.

Baada ya mchakato wa ushindani wa zabuni uliohusisha Afrika Kusini, Morocco, na Algeria, Morocco iliibuka kuwa chaguo la pamoja wakati wa mkutano wa bodi ya ACA uliofanyika jana.

Makao Makuu ya ACA yatakuwa Rabat, karibu na ofisi za shirikisho la soka la Afrika (CAF) na FIFA. Eneo hili la kimkakati litaimarisha ushirikiano na kuchangia ukuaji wa soka barani, huku Morocco ikiendelea kuchukua jukumu muhimu katika maendeleo ya soka duniani.

Kufuatia Mkutano huo, ACA ilituma barua kwa Rais wa shirikisho la soka la Morocco, Bw. Fouzi Lekjaa, kuwapongeza kwa kufanikisha zabuni hiyo.

Hii itawapa watendaji wa ACA fursa ya kuwasiliana na maafisa wa FIFA, CAF,kuhusu masuala yanayohusiana na vilabu.

Tumewazidi mbali sana
Yanga bingwa
Umenifanya nipoteze muda kidogo ku-google ili kujua ofisi za CAF zilipo. Websire ys CAF inasema ofisi zao zipo Cairo, Egypt, ila wewe umesema karibu na ofisi za CAF zilizopo Morocco! Hebu fafanua zimeanzishwa lini hizo ofisi za CAF Morocco?
 
Soma Uzi kijana
 
Yaani unajisifu upo na kiongozi mkubwa Caf halafu hauishi kulialia mara tumekataliwa goli halali dhidi ya msauz mara tumenyimwa penalty ya wazi dhidi ya mwarabu
Sasa kuwa na kiongozi asiyeweza hata kuwa na ushawishi kuisaidia timu yake iwe treated fair kimaamuzi kama ilivyo Simba,Ahly,Esperance na Mamelod kuna msaada gani kwenu ?
 
5imba ambayo inacheza shirikisho na Coast union
 
Simba haijawahi kulia na waamuzi Caf, ni wapinzani wa Simba ndio huwa wanalia na waamuzi wengne hadi kwenda Caf kushtaki na huo ndio ukubwa wa simba Africa
Hakuna refa anayeweza kuinyonga timu kubwa Caf
 
Utopolo ni MACHI, eeeh malizia na ZI. Nassr al-khelafi ndio raisi wa european clubs association (ECA) lakini club yake PSG si lolote kwenye UEFA tournaments
 
Back
Top Bottom