Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakuuliza unashiriki michuano gani unasema ulicheza Caf ina maana michuano ya mwaka huu imeshaisha ama vipi?Mwaka huu nilicheza CAFCL
Wewe je ulicheza mashindano gani?
Wewe ndo unafanya Yanga wote tuonekane ni vilaza. Sijui kwa nini uliamua kuwa unatudhalilisha tu humu JF?Morocco imechaguliwa kuwa Makao Makuu ya Chama kipya cha vilabu vya Afrika kinachoongozwa na Eng.Hersi Said.
Baada ya mchakato wa ushindani wa zabuni uliohusisha Afrika Kusini, Morocco, na Algeria, Morocco iliibuka kuwa chaguo la pamoja wakati wa mkutano wa bodi ya ACA uliofanyika jana.
Makao Makuu ya ACA yatakuwa Rabat, karibu na ofisi za shirikisho la soka la Afrika (CAF) na FIFA. Eneo hili la kimkakati litaimarisha ushirikiano na kuchangia ukuaji wa soka barani, huku Morocco ikiendelea kuchukua jukumu muhimu katika maendeleo ya soka duniani.
Kufuatia Mkutano huo, ACA ilituma barua kwa Rais wa shirikisho la soka la Morocco, Bw. Fouzi Lekjaa, kuwapongeza kwa kufanikisha zabuni hiyo.
Hii itawapa watendaji wa ACA fursa ya kuwasiliana na maafisa wa FIFA, CAF,kuhusu masuala yanayohusiana na vilabu.
Tumewazidi mbali sana
Yanga bingwa