Kweli njaa mbaya leo hii umri mkubwa umekua dili kisa ajira wakati miaka ile ukiwa chini ya 18yrs dili🙌Mimi nimeumia na nimeniuma sana: haiwezekani mtu ume-graduate 2015 unaachwa kuajiliwa eti anaajiriwa wa 2018 kisa kakuzidi umri
Kwahiyo kutokuwa na umi mkubwa ni kosa?
Je, ajira za serikali sharti iwe na miaka mingapi? Tunaomba ufafanuzi,
Mtu kaanzia kufanya kazi kwenye taasisi binafsi hadi kachoka ameacha ana-aplyy serikalini wanamujili kisa ana umri mkubwa
Kwanini msiajili watu kwa kufuatia mtililiko wa mwaka wa kuhitimu?
Kwanini uchukue wa 2018 na sisi wa 2015 tupo na sifa tunazo?
Mimi nimelaani sana hicho kitendo. Sawa
Wee nawe kuna watu wamemaliza 2000 hadi 2010 na hawajaajiriwa. Wewe ni nani uwe spesho sana upate ajira. Ukipata shukuru ukikosa fungua milango mingine sio mwisho wa maishaMimi nimeumia na nimeniuma sana: haiwezekani mtu ume-graduate 2015 unaachwa kuajiliwa eti anaajiriwa wa 2018 kisa kakuzidi umri
Kwahiyo kutokuwa na umi mkubwa ni kosa?
Je, ajira za serikali sharti iwe na miaka mingapi? Tunaomba ufafanuzi,
Mtu kaanzia kufanya kazi kwenye taasisi binafsi hadi kachoka ameacha ana-aplyy serikalini wanamujili kisa ana umri mkubwa
Kwanini msiajili watu kwa kufuatia mtililiko wa mwaka wa kuhitimu?
Kwanini uchukue wa 2018 na sisi wa 2015 tupo na sifa tunazo?
Mimi nimelaani sana hicho kitendo. Sawa tu😭
Gwajima mbona anapokea posho bungeni au ubunge ni kujiajiri?Jiajili mkuu
Ajira ni Utumwa wa wakati wote unapokuwa na nguvu
Gwajima aliwahi kusema, sio kiinua mgongo ni kipinda mgongo
Ukijiajili hutoulizwa swala la umri na utaenjoy maisha
Jiajili Jiajili Jiajiliiiiiiii