Ofisi ya Rais - TAMISEMI itoe muongozo wa umri sahihi mtu anaotakiwa kuwa nao anapomaliza chuo

ngebe

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2020
Posts
1,789
Reaction score
5,117
Mimi nimeumia na nimeniuma sana: haiwezekani mtu ume-graduate 2015 unaachwa kuajiliwa eti anaajiriwa wa 2018 kisa kakuzidi umri

Kwahiyo kutokuwa na umi mkubwa ni kosa?

Je, ajira za serikali sharti iwe na miaka mingapi? Tunaomba ufafanuzi,

Mtu kaanzia kufanya kazi kwenye taasisi binafsi hadi kachoka ameacha ana-aplyy serikalini wanamujili kisa ana umri mkubwa

Kwanini msiajili watu kwa kufuatia mtililiko wa mwaka wa kuhitimu?

Kwanini uchukue wa 2018 na sisi wa 2015 tupo na sifa tunazo?

Mimi nimelaani sana hicho kitendo. Sawa tu😭
 
Jiajili mkuu

Ajira ni Utumwa wa wakati wote unapokuwa na nguvu

Gwajima aliwahi kusema, sio kiinua mgongo ni kipinda mgongo

Ukijiajili hutoulizwa swala la umri na utaenjoy maisha

Jiajili Jiajili Jiajiliiiiiiii
 
Hapo sijakuelewa kabisa, yaani mwenye umri mkubwa anaachwa na kuajiriwa mwenye umri mdogo ama.
 
Mimi nimeumia na nimeniuma sana: haiwezekani mtu ume-graduate 2015 unaachwa kuajiliwa eti anaajiriwa wa 2018 kisa kakuzidi umri

Kwahiyo kutokuwa na umi mkubwa ni kosa?

Je, ajira za serikali sharti iwe na miaka mingapi? Tunaomba ufafanuzi,

Mtu kaanzia kufanya kazi kwenye taasisi binafsi hadi kachoka ameacha ana-aplyy serikalini wanamujili kisa ana umri mkubwa

Kwanini msiajili watu kwa kufuatia mtililiko wa mwaka wa kuhitimu?

Kwanini uchukue wa 2018 na sisi wa 2015 tupo na sifa tunazo?

Mimi nimelaani sana hicho kitendo. Sawa
Kweli njaa mbaya leo hii umri mkubwa umekua dili kisa ajira wakati miaka ile ukiwa chini ya 18yrs dili🙌
 
Mimi nimeumia na nimeniuma sana: haiwezekani mtu ume-graduate 2015 unaachwa kuajiliwa eti anaajiriwa wa 2018 kisa kakuzidi umri

Kwahiyo kutokuwa na umi mkubwa ni kosa?

Je, ajira za serikali sharti iwe na miaka mingapi? Tunaomba ufafanuzi,

Mtu kaanzia kufanya kazi kwenye taasisi binafsi hadi kachoka ameacha ana-aplyy serikalini wanamujili kisa ana umri mkubwa

Kwanini msiajili watu kwa kufuatia mtililiko wa mwaka wa kuhitimu?

Kwanini uchukue wa 2018 na sisi wa 2015 tupo na sifa tunazo?

Mimi nimelaani sana hicho kitendo. Sawa tu😭
Wee nawe kuna watu wamemaliza 2000 hadi 2010 na hawajaajiriwa. Wewe ni nani uwe spesho sana upate ajira. Ukipata shukuru ukikosa fungua milango mingine sio mwisho wa maisha
 
Jiajili mkuu

Ajira ni Utumwa wa wakati wote unapokuwa na nguvu

Gwajima aliwahi kusema, sio kiinua mgongo ni kipinda mgongo

Ukijiajili hutoulizwa swala la umri na utaenjoy maisha

Jiajili Jiajili Jiajiliiiiiiii
Gwajima mbona anapokea posho bungeni au ubunge ni kujiajiri?
 
Back
Top Bottom