DOKEZO Ofisi ya Rais Utumishi, TAMISEMI na Mkurugenzi wa Manispaa ya Sumbawanga okoeni mtumishi huyu

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Hebu muambie apambanie haki yake, ikiwa alienda kujiendeleza kwa kufuata taratibu, kanuni na muongozoo wa utumishi.
 
Assnte kwa Taarifa hizi suala hili tumeshalifikisha kwenye Halmashauri husika na linafanyiwa kazi!
 
Assnte kwa Taarifa hizi suala hili tumeshalifikisha kwenye Halmashauri husika na linafanyiwa kazi!
OR TAMISEMI , asanteni kwa hatua hiyo. Ombi langu kwenu; tuwasiliane PM niwape full details za Mtumishi huyo ili muwasiliane nae moja kwa moja. Itapendeza zaidi Kama atapata nakala ya correspondence mnazofanya na Mwajiri wake. Nitakuwa hapa kusubiri jibu la OMBI hili. Asante.
 
Kama ni taarifa za kweli huyo afisa utumishi amepata faida gani Kwa kusababisha mwenzake ana hangaika na familia mtaani
Wewe unawajua wachawi na kazi zao au unawasikia? Huyo nisawa na mchawitu
 
Hao wanatabia ya kulindana. Mkurugenzi lazima amlinde afisa utumishi na TAMISEMI nao wanamlinda mkurugenzi. Ni upuuzi wa kiwango cha lami.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…