dr namugari
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 10,466
- 18,206
Ktk hali ya kustaajabisha juz waziri mkuu wa zamni wa Kenya ndugu Raila omong Odinga alikwenda nchini Burundi kuomba uungwaji mkono kwa rais wa Burundi kweny kinyanganyiro cha mwenyekiti wa umoja wa Africa
Basi bhna picha zilipigwa na odingi akiwa ktk moja ya ofisi ya Rais wa Burundi kitendo kilicho wafanya wadau wengi kuhoji ukubwa wa umasikini wa nch ya Burundi ulivyo, wakenya wengi waliibeza sana hyo ofisi hadi na nguo za rais Evarest Ndaiashimie alizozifaa kuwa anaonekana kama dalali wa tyer mbovu huko Nairobi
Wakenya wana dharau sna anajiona sna kuwa ni taifa lenye uchumi mkubwa hapa Africa na wao wanifananisha jiji la Nairobi kama ney York
Sijapenda jinsi walivyo mdharau rais wa Burundi
Picha naweka

Attachments
-
IMG_20250213_164925.jpg76.1 KB · Views: 4 -
IMG_20250213_164935.jpg71.7 KB · Views: 5 -
IMG_20250213_164931.jpg59.9 KB · Views: 4 -
Screenshot_20250213-165029.png587.3 KB · Views: 4 -
Screenshot_20250213-165011.png538.3 KB · Views: 4 -
Screenshot_20250213-165041.png532.1 KB · Views: 3 -
Screenshot_20250213-165056.png675.6 KB · Views: 3