Ofisi ya Rais wa Burundi yaleta gumzo mtandaoni

Hiyo sio office ya state house, Walitaka Raila akaribishwe office ya Ikulu kama nani?
 
Ujue tu Burudi ni kati ya mataifa masikini sana duniani. Angalia GDP yake Africa mashariki. Huenda wanafikiria vita zaidi kuliko maendeleo.
 
Mtu
Waafrika tumepigwa stroke ya akili. Wakinunua furniture za gharama tunasema ni ufisadi. Wakiamua kuwa simple kuendana na hali ya uchumi bado washambuliwe. Hata hatujui tunataka nini. Ruto wanyooshe hao na wewe jiagize jet ya rais.
mweusi ni mweusikuanzia kwenye roho hadi akili
 
Waafrika tumepigwa stroke ya akili. Wakinunua furniture za gharama tunasema ni ufisadi. Wakiamua kuwa simple kuendana na hali ya uchumi bado washambuliwe. Hata hatujui tunataka nini. Ruto wanyooshe hao na wewe jiagize jet ya rais.
Hakika mkuu !
 
Back
Top Bottom