A
Anonymous
Guest
Ofisi ya RAS Mkoa wa Mara inakaa na maombi ya uhamisho ya watumishi zaidi ya wiki mbili sasa bila kuyapitisha kwenye mfumo wa ESS.
maombi yangu ya uhamisho toka tarehe 1/6/2026 hadi leo bado yanasomeka yapo kwenye ofisi yake.
NInaomba kama RAS atakua amempatia mtu jukumu hilo la kimfumo, afatilie utendaji kazi wake kwa sababu anamfanya RAS aonekane anazuia uhamisho wa watumishi.