ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Nilikuwa nacheza basket enzi zangu gymkhana nikagonga pale kuomba maji ya kunywa nikapewa juiceNenda pale jirani na ofisi za TFNC jirani na Ocean Road Hospital ugonge pale uulizie majukumu yao!!! Nchi hii iko imara kila sekta
Kivipi? Hii sio TISS ni tofauti na usalama wa taifa.. Yenyewe hio ni usalama Serikalini[mention]ndege JOHN [/mention] account iko hacked ama ?
Hii Mimi ndiyo naijua leoTFNC jirani
Tanzania food and nutrition centreHii Mimi ndiyo naijua leo
Una bahati mkuu... hongera sanaNilikuwa nacheza basket enzi zangu gymkhana nikagonga pale kuomba maji ya kunywa nikapewa juice
Asante sanaTanzania food and nutrition centre
Hata Dodoma Nyuma ya Jengo la TwakwimuNenda pale jirani na ofisi za TFNC jirani na Ocean Road Hospital ugonge pale uulizie majukumu yao!!! Nchi hii iko imara kila sekta
Hapana sio hiyoUsalama mahali pa kazi kama OSHA?
Hata Dodoma Nyuma ya Jengo la Twakwimu
Na kuna watumishi huwa wanalipwa mishahara hapo, hata kama hawajulikani kuwa wapo na kazi wanayofanya haionekani!Hii nchi kumbe ina ofisi nyingi namna hii na hamsemi leo ndo nimejua kama kuna hii ofisi ya usalama serikalini ambayo wajibu wake ni kutoa elimu kuhusu kanuni za usalama serikalini kwa watumishi wa ngazi zote.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nilikuwa nacheza basket enzi zangu gymkhana nikagonga pale kuomba maji ya kunywa nikapewa juice
Sasa kivipi madini yameibwa kwa miaka 20? Kivipi Tanzanite inapitishwa chini ya ukuta? Kivipi CCM mafisadi wapo madarakani kama kweli usalama wapo?Nenda pale jirani na ofisi za TFNC jirani na Ocean Road Hospital ugonge pale uulizie majukumu yao!!! Nchi hii iko imara kila sekta
Na kuna executive manager hapo anakunja 7m/mNyingine inaitwa national institute of productivity yaan upuuz mtupu
Nilienda wasikiliza yaani ni ofisi isiyo na tija kabisana kuna executive manager hapo anakunja 7m/m