Ofisi ya Taifa ya usalama Serikalini

Ofisi ya Taifa ya usalama Serikalini

Nilikuwa nacheza basket enzi zangu gymkhana nikagonga pale kuomba maji ya kunywa nikapewa juice
Heri yako. Huku Kanda ya Ziwa kwenye moja ya Makao Makuu ya Wilaya kuna jamaa mmoja alikuwa anafanya kazi "part time" jengo lililokuwa na Ofisi nyingi za Serikali. Basi siku moja akajiuliza kwanini mlango wa ofisi ya jirani umeandikwa "MLANGO HUU HAUTUMIKI" lakini bado kuna watu wanaingia na kutoka? Akaona na yeye aingie huo mlango aone kuna nini! Alirudi baada ya siku tatu!!!!! Ahahahahah!!! Na kila wenzake wakimuuliza alikuwa wapi, hasemi! Ahahahahah!!!!

Siku moja akamsikia mwenzake ofisini anasema ngoja akaone kwanini mlango umeandikwa hautumiki lakini kuna watu wanaingia na kutoka. Yule jamaa wa mwanzo akamrukia na kumshika mkono akimwambia, "Usiende! Usiende! Ahahahahah! Alipoulizwa kwanini asiende, aliendeea kusisitiza! "Usiende! Usiende"! Ahahahahah!!!
 
Aliliwa tako nn
 
Inasemekana? Ofisi rasmi za kitengo hazijulikani zilipo kama zile za Langley?!
Kwa kimatumbi haziitwi ofisi, bali zinaitwa "safe houses".

Nchi yoyote ambayo ina ofisi za ubalozi wa Marekani, basi ujue ina safe houses za CIA.

Hata hapa kwetu bongoland zipo safe house za CIA, ila inahitaji knowledge kubwa sana ya kimedani kuweza kuzibaini.
 
Heri yako. Huku Kanda ya Ziwa kwenye moja ya Makao Makuu ya Wilaya kuna jamaa mmoja alikuwa anafanya kazi "part time" jengo lililokuwa na Ofisi nyingi za Serikali. Basi siku moja akajiuliza kwanini mlango wa ofisi ya jirani umeandikwa "MLANGO HUU HAUTUMIKI" lakini bado kuna watu wanaingia na kutoka? Akaona na yeye aingie huo mlango aone kuna nini! Alirudi baada ya siku tatu!!!!! Ahahahahah!!! Na kila wenzake wakimuuliza alikuwa wapi, hasemi! Ahahahahah!!!!

Siku moja akamsikia mwenzake ofisini anasema ngoja akaone kwanini mlango umeandikwa hautumiki lakini kuna watu wanaingia na kutoka. Yule jamaa wa mwanzo akamrukia na kumshika mkono akimwambia, "Usiende! Usiende! Ahahahahah! Alipoulizwa kwanini asiende, aliendeea kusisitiza! "Usiende! Usiende"! Ahahahahah!!!
We jamaa hizo ahahaaa unazipangilia kama dua.
 
kwa kimatumbi haziitwi ofisi, bali zinaitwa "safe houses".

nchi yoyote ambayo ina ofisi za ubalozi wa marekani, basi ujue ina safe houses nyingi za CIA.

hata hapa kwetu bongoland zipo safe house za CIA, ila inahitaji knowledge kubwa sana ya kimedani kuweza kuzibaini.
Hii chai umesahau kuweka Mdalasini! Ahahahahah!!!
 
Back
Top Bottom