tonicimmobility
JF-Expert Member
- Jun 17, 2025
- 493
- 1,040
Hili ni igizo tu.Tukisema matumizi mabaya ya mali za umma ndiyo haya.
Kama ofisini kwa tume huru ya uchaguzi taifa tayari kuna picha ya mgombea urais maana yake rais ajae anafahamika tayari, kama mshamjua kwanini mharibu pesa za kampeni? Si bora mumpitishe yaishe hizo pesa zikafanye kazi nyingine?
Mnalikosea sana neno ''HURU'' mnaita tume huru ya uchaguzi taifa, uhuru wake uko wapi? Ataendelea kukumbukwa Captain Thomas Isdor Sankara ''Who feeds you contorols you''
Soma pia: Mabango yenye matangazo ya vipeperushi vya wagombea Urais kwenye uchaguzi Mkuu lazima uombe kibali tume huru ya uchaguzi
View attachment 3454618
Tukisema matumizi mabaya ya mali za umma ndiyo haya.

Yani wewe na akili yako finyu unasahau kuwa Samia bado ni Rais kwa mujibu wa Katiba?Tukisema matumizi mabaya ya mali za umma ndiyo haya.
Kama ofisini kwa tume huru ya uchaguzi taifa tayari kuna picha ya mgombea urais maana yake rais ajae anafahamika tayari, kama mshamjua kwanini mharibu pesa za kampeni? Si bora mumpitishe yaishe hizo pesa zikafanye kazi nyingine?
Mnalikosea sana neno ''HURU'' mnaita tume huru ya uchaguzi taifa, uhuru wake uko wapi? Ataendelea kukumbukwa Captain Thomas Isdor Sankara ''Who feeds you contorols you''
Soma pia: Mabango yenye matangazo ya vipeperushi vya wagombea Urais kwenye uchaguzi Mkuu lazima uombe kibali tume huru ya uchaguzi
View attachment 3454618
Hiyo ni ofisi ya serikali lazima kuwepo na picha ya Rais aliyeko madarakani. Kwani hujui kuwa Samia bado ni Rais wa JMT?Tukisema matumizi mabaya ya mali za umma ndiyo haya.
Kama ofisini kwa tume huru ya uchaguzi taifa tayari kuna picha ya mgombea urais maana yake rais ajae anafahamika tayari, kama mshamjua kwanini mharibu pesa za kampeni? Si bora mumpitishe yaishe hizo pesa zikafanye kazi nyingine?
Mnalikosea sana neno ''HURU'' mnaita tume huru ya uchaguzi taifa, uhuru wake uko wapi? Ataendelea kukumbukwa Captain Thomas Isdor Sankara ''Who feeds you contorols you''
Soma pia: Mabango yenye matangazo ya vipeperushi vya wagombea Urais kwenye uchaguzi Mkuu lazima uombe kibali tume huru ya uchaguzi
View attachment 3454618
Watakwambia ni ofisi ya umma. Africa kufikia Demokrasia ya kweli bado kweusi sana aisee.Tukisema matumizi mabaya ya mali za umma ndiyo haya.