- Thread starter
- #21
Tunawavumilia TU nao ni walewaleNenda Tigo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tunawavumilia TU nao ni walewaleNenda Tigo
Kwani umefunga ndoa na Vidacom?Juzi kati nilienda kuwataarifu kuhusu tatizo kwenye lain yangu. Cha ajabu meneja wakati natoa maelezo kuhusiana na la laini yangu Kama dakika moja hivi ghafla anapokea sim anaongea na msela wake na kunipotezea bila hata excuse yoyote..ni kwanini watu wanakuwa hivi?..Ni viburi vya nafasi au vipi?
Au alikuona wewe ni kama wale hamnazo nini?Juzi kati nilienda kuwataarifu kuhusu tatizo kwenye lain yangu. Cha ajabu meneja wakati natoa maelezo kuhusiana na la laini yangu Kama dakika moja hivi ghafla anapokea sim anaongea na msela wake na kunipotezea bila hata excuse yoyote..ni kwanini watu wanakuwa hivi?..Ni viburi vya nafasi au vipi?
Unapaswa kurecord, huwezi saidiwa kama huna ushahidiJuzi kati nilienda kuwataarifu kuhusu tatizo kwenye lain yangu. Cha ajabu meneja wakati natoa maelezo kuhusiana na la laini yangu Kama dakika moja hivi ghafla anapokea sim anaongea na msela wake na kunipotezea bila hata excuse yoyote..ni kwanini watu wanakuwa hivi?..Ni viburi vya nafasi au vipi?
Huu niutamaduni wa kitanzania. Hawajali wateja. Hata huko dukani unakuta mtu anakuhudumia huku anaongea na simu. Wewe anakupa ishara tu.Juzi kati nilienda kuwataarifu kuhusu tatizo kwenye lain yangu. Cha ajabu meneja wakati natoa maelezo kuhusiana na la laini yangu Kama dakika moja hivi ghafla anapokea sim anaongea na msela wake na kunipotezea bila hata excuse yoyote..ni kwanini watu wanakuwa hivi?..Ni viburi vya nafasi au vipi?
Ni Tanzania yetu hii. Hata maduka ya binafsi yako hivyo. Ukienda kwenye mabasi ya abiria ndiyo komesha.Bora vodacom, nenda ofisi za umma ua za CCM uone uozo wake
Halafu wakipigwa spana kuna wavimba macho wanawatetea.Siku ukienda NIDA ndio utapata stroke kabisaaaa, ogopa mbongo akiwa kwenye nafasi yake we pishana nao tu bara barani wamevaa skafu zao na mashati ya kuchomekea ,hata konda kwenye dala dala anakuvimbia, ofisi ya kata wanakuvimbia,sijui Tanesco wanakuvimbia,sijui konda wa basi anakuvimbia, nesi hospitali ndio mamaaa
Wapo wengi Sana hao bro! Kizazi hiki,kichwani ni zero, kuanzia shule mpaka kwenye kazi, hapo kuanzia shule, unakutq alipita kwa kuuza Mambo, katika chuo,hivyo hivyo, kupata kazi, hivyo hivyo,Juzi kati nilienda kuwataarifu kuhusu tatizo kwenye lain yangu. Cha ajabu meneja wakati natoa maelezo kuhusiana na la laini yangu Kama dakika moja hivi ghafla anapokea sim anaongea na msela wake na kunipotezea bila hata excuse yoyote..ni kwanini watu wanakuwa hivi?..Ni viburi vya nafasi au vipi?
huduma mbovu haswaNi Tanzania yetu hii. Hata maduka ya binafsi yako hivyo. Ukienda kwenye mabasi ya abiria ndiyo komesha.