connections
JF-Expert Member
- Apr 27, 2013
- 2,842
- 3,922
Ili kuboresha huduma na kupunguza gharama za uendeshaji inafaa makao makuu ya Air Tanzamia kupelekwa kwenye hub yao (JNIA). Haya mambo ya kuzungushana na ma-VX kati ya Airport-Mjini-Dodoma inaongeza gharama. Jengo la.makao makuu ya sasa (lipigwe mnada au kukodishwa). Kenya Airways, Rwandair, Ethiopian HQ zao zipo kwenye hub/airport.
***Pale mjini inaweza kubaki sales office ndogo (size ya fremu 2 za duka)
***Pale mjini inaweza kubaki sales office ndogo (size ya fremu 2 za duka)