Villky_J JF-Expert Member Joined Mar 14, 2017 Posts 492 Reaction score 609 Jan 19, 2023 #1 Habari za muda huu nduguz. Niende moja kwa moja kwenye mada. Kuna hizi sigara mpya zimeingia mtaani zinaitwa BLACK DEVIL, hivi ofisi zao kwa hapa Dar, wanapatikana wap?
Habari za muda huu nduguz. Niende moja kwa moja kwenye mada. Kuna hizi sigara mpya zimeingia mtaani zinaitwa BLACK DEVIL, hivi ofisi zao kwa hapa Dar, wanapatikana wap?
Juuchini JF-Expert Member Joined Dec 10, 2018 Posts 1,644 Reaction score 2,300 Jan 19, 2023 #2 Unataka ufikapo,?
Villky_J JF-Expert Member Joined Mar 14, 2017 Posts 492 Reaction score 609 Jan 19, 2023 Thread starter #3 Juuchini said: Unataka ufikapo,? Click to expand... Yes, ndio mana nikauliza....najua zipo dar....ila sijajua ni wap? Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
Juuchini said: Unataka ufikapo,? Click to expand... Yes, ndio mana nikauliza....najua zipo dar....ila sijajua ni wap? Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
Villky_J JF-Expert Member Joined Mar 14, 2017 Posts 492 Reaction score 609 Jan 23, 2023 Thread starter #4 Jaman hayupo mtu yeyote mwenye taarifa kuhusu hili? Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
Jaman hayupo mtu yeyote mwenye taarifa kuhusu hili? Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
Mshuza2 JF-Expert Member Joined Dec 27, 2010 Posts 11,261 Reaction score 17,202 Jan 23, 2023 #5 Sio mtego kweli huu mkuu? Maana tunaingiza kimagendo..btw unataka ya flavor gani?
M MZAWA JF JF-Expert Member Joined Apr 4, 2014 Posts 4,491 Reaction score 3,996 Jan 24, 2023 #6 Kama ipo sigara inaitwa shetani mweusi alafu inaenda kuharibu mapafu yetu naipa mwaka mmoja ku exist sokoni. Time will tell
Kama ipo sigara inaitwa shetani mweusi alafu inaenda kuharibu mapafu yetu naipa mwaka mmoja ku exist sokoni. Time will tell
Villky_J JF-Expert Member Joined Mar 14, 2017 Posts 492 Reaction score 609 Jan 24, 2023 Thread starter #7 Mshuza2 said: Sio mtego kweli huu mkuu? Maana tunaingiza kimagendo..btw unataka ya flavor gani? Click to expand... Nipo kibiashara mkuu....kuwa na amani kabisa, njoo Pm tuzungumze Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
Mshuza2 said: Sio mtego kweli huu mkuu? Maana tunaingiza kimagendo..btw unataka ya flavor gani? Click to expand... Nipo kibiashara mkuu....kuwa na amani kabisa, njoo Pm tuzungumze Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
Chura JF-Expert Member Joined Sep 22, 2009 Posts 1,385 Reaction score 2,402 May 12, 2023 #8 Hii sigara ni ya kishua asikwambie mtu ile vanilla au chocolate aroma ni kesi nyingine