Ofisi za Black Devil cigarette zipo wapi?

Ofisi za Black Devil cigarette zipo wapi?

Villky_J

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2017
Posts
492
Reaction score
609
Habari za muda huu nduguz. Niende moja kwa moja kwenye mada.

Kuna hizi sigara mpya zimeingia mtaani zinaitwa BLACK DEVIL, hivi ofisi zao kwa hapa Dar, wanapatikana wap?
 
Sio mtego kweli huu mkuu? Maana tunaingiza kimagendo..btw unataka ya flavor gani?
 
Kama ipo sigara inaitwa shetani mweusi alafu inaenda kuharibu mapafu yetu naipa mwaka mmoja ku exist sokoni. Time will tell
 
Hii sigara ni ya kishua asikwambie mtu ile vanilla au chocolate aroma ni kesi nyingine
 
Back
Top Bottom