FursaUbunge umefanywa sio uwakilishi tena ni sehemu ya kuongeza kipato
Kwani Mtulia siyo CCM?......... Wasiotakiwa kinondoni ni wapinzani bwashee hao ubunge watausikilizia redioni!Nyie pangeni Foleni tu ....ila mtulia ndo Mbunge wenu hapo kinondoni.
Mimi nimeona nikadhani ni wadhamini wa mgombea maarufu wamempenda, wanasubiri achukue fomu wamdhamini. Kumbe wanasubiri kuchukua fomu wawe wagombea!?Niko hapa Kinondoni Mkwajuni aisee watu wameamua maana siyo kwa umati huu. Naambiwa watia nia wamefika hapa tangu saa 10 Alfajili kuwahi nafasi ili ofisi zikifunguliwa wawe wa mwanzo.
Bila picha jamani?????Kumekucha tena.
Niko hapa Kinondoni Mkwajuni aisee watu wameamua maana siyo kwa umati huu. Naambiwa watia nia wamefika hapa tangu saa 10 Alfajili kuwahi nafasi ili ofisi zikifunguliwa wawe wa mwanzo.
Ngoja nijaribu kupiga kapicha niwatupie hapa.
Maendeleo hayana vyama!
Kwani kuna sheria wanavunja ?Ubunge umefanywa sio uwakilishi tena ni sehemu ya kuongeza kipato
Unamkataje waziri wa michezo mtarajiwa kwa mfano!
Mkuu siyo siasa,bali ni ugumu wa maisha,ajira hakuna.Unakumbuka miaka minne iliyopita,uhamiaji walitangaza nafasi za kazi 80 kama sijakosea,siku ya usaili wasailiwa walijitokeza zaidi ya 12,000/ ilibidi wafanyie uwanja wa Taifa.Dah hizi siasa bhaana[emoji23][emoji23]
Usisahau bahasha za milioni kumi kwa kila mbunge kupitisha miswaada yenye maslahi kwa wakubwa.Baada ya miaka mitano ya uongozi wa Magufuli kazi ya Ubunge imefikiriwa na wengi ndani ya CCM kuwa ni kazi rahisi kufanya.
•kusinzia
•kupiga makofi kwa bidii
•kutoa sifa kwa Rais kwa kila jambo
•kutukana wapinzani kwa bidii
Hii ni tofauti na wakati uliopita au kwa wabunge wa upinzani ambao wanaamini ubunge ni kufanya tafiti, kupigania haki na kushauri mawazo mbadala.
Kama Idi Mtulia aliweza kuwa mbunge kila mtu ataweza.Maana yake demokrasia imetamalaki.
Watu wakiona kuwa haki sawa matokeo yake ndio haya
Kumbe bwashee wewe ndio Pierre Liquid? Ndio mana nyuzi zako nyingine hazieleweki.Mimi nimechukuwa Iringa mjini bwashee.
Jukumu langu la kwanza nililoombwa na wanyalu ni kuhakikisha Lipuli wana Paluhengo hawashuki daraja.
Ubunge umefanywa sio uwakilishi tena ni sehemu ya kuongeza kipato
Pierre aliwapeleka wabunge na Spika Cairo Misri kuishangilia Taifa stars......usimchukulie kizembezembe yuko kiitifaki!Kumbe bwashee wewe ndio Pierre Liquid? Ndio mana nyuzi zako nyingine hazieleweki.
Pierre aliwapeleka wabunge na Spika Cairo Misri kuishangilia Taifa stars......usimchukulie kizembezembe yuko kiitifaki!
Wewe punguza basi huo usukununu wako, unaleta habari inayohitaji kuwa na picha, lkn unashindwa kutuaminisha kwa hiloKumekucha tena.
Niko hapa Kinondoni Mkwajuni aisee watu wameamua maana siyo kwa umati huu. Naambiwa watia nia wamefika hapa tangu saa 10 Alfajili kuwahi nafasi ili ofisi zikifunguliwa wawe wa mwanzo.
Ngoja nijaribu kupiga kapicha niwatupie hapa.
Maendeleo hayana vyama!
Tunasubiri picha tu bwashee.
Vipi wewe haupo kwenye mstari?
Wee unafanya nini hapo.
Mimi nimechukuwa Iringa mjini bwashee.
Jukumu langu la kwanza nililoombwa na wanyalu ni kuhakikisha Lipuli wana Paluhengo hawashuki daraja.