Uchaguzi 2020 Ofisi za CCM wilaya ya Kinondoni watu wamepanga foleni ndefu wakisubiri kuchukua fomu

Uchaguzi 2020 Ofisi za CCM wilaya ya Kinondoni watu wamepanga foleni ndefu wakisubiri kuchukua fomu

Niko hapa Kinondoni Mkwajuni aisee watu wameamua maana siyo kwa umati huu. Naambiwa watia nia wamefika hapa tangu saa 10 Alfajili kuwahi nafasi ili ofisi zikifunguliwa wawe wa mwanzo.
Mimi nimeona nikadhani ni wadhamini wa mgombea maarufu wamempenda, wanasubiri achukue fomu wamdhamini. Kumbe wanasubiri kuchukua fomu wawe wagombea!?
 
Kumekucha tena.

Niko hapa Kinondoni Mkwajuni aisee watu wameamua maana siyo kwa umati huu. Naambiwa watia nia wamefika hapa tangu saa 10 Alfajili kuwahi nafasi ili ofisi zikifunguliwa wawe wa mwanzo.

Ngoja nijaribu kupiga kapicha niwatupie hapa.

Maendeleo hayana vyama!
Bila picha jamani?????
 
Dah hizi siasa bhaana[emoji23][emoji23]
Mkuu siyo siasa,bali ni ugumu wa maisha,ajira hakuna.Unakumbuka miaka minne iliyopita,uhamiaji walitangaza nafasi za kazi 80 kama sijakosea,siku ya usaili wasailiwa walijitokeza zaidi ya 12,000/ ilibidi wafanyie uwanja wa Taifa.
 
Baada ya miaka mitano ya uongozi wa Magufuli kazi ya Ubunge imefikiriwa na wengi ndani ya CCM kuwa ni kazi rahisi kufanya.
•kusinzia
•kupiga makofi kwa bidii
•kutoa sifa kwa Rais kwa kila jambo
•kutukana wapinzani kwa bidii
Hii ni tofauti na wakati uliopita au kwa wabunge wa upinzani ambao wanaamini ubunge ni kufanya tafiti, kupigania haki na kushauri mawazo mbadala.
Usisahau bahasha za milioni kumi kwa kila mbunge kupitisha miswaada yenye maslahi kwa wakubwa.
 
Mimi nimechukuwa Iringa mjini bwashee.

Jukumu langu la kwanza nililoombwa na wanyalu ni kuhakikisha Lipuli wana Paluhengo hawashuki daraja.
Kumbe bwashee wewe ndio Pierre Liquid? Ndio mana nyuzi zako nyingine hazieleweki.
 
Ubunge umefanywa sio uwakilishi tena ni sehemu ya kuongeza kipato

Wapi Rita Poulsen, Master J na wenzao? Kutia nia imekuwa Bongo Star Search nyingine.

Watu watu wanajitafutia umaarufu badala ya kujikita kwenye uzalishaji wa mali.

Hatuendi popote kama taifa kwa vimbwanga hivi.
 
Kumekucha tena.

Niko hapa Kinondoni Mkwajuni aisee watu wameamua maana siyo kwa umati huu. Naambiwa watia nia wamefika hapa tangu saa 10 Alfajili kuwahi nafasi ili ofisi zikifunguliwa wawe wa mwanzo.

Ngoja nijaribu kupiga kapicha niwatupie hapa.

Maendeleo hayana vyama!
Wewe punguza basi huo usukununu wako, unaleta habari inayohitaji kuwa na picha, lkn unashindwa kutuaminisha kwa hilo
 
Labda lipuli ya kongwa kwenu msiyo jua kuwa mwl JK Nyerere alisha fariki
Mimi nimechukuwa Iringa mjini bwashee.

Jukumu langu la kwanza nililoombwa na wanyalu ni kuhakikisha Lipuli wana Paluhengo hawashuki daraja.
 
Back
Top Bottom