Ofisi za DHL dar es salaam

raia tz

Member
Joined
Nov 21, 2011
Posts
89
Reaction score
16
Wakuu naomba mnijuze zilipo ofisi za DHL kwa hapa mjini
 
Peugeot (sijui nimepatia spelling?) house ground floor.
 
Nyerere Road, baada ya taa za changombe, upande wa kulia ukielekea Tazara (Airport)
 
ndugu yangu hao DHL Tanzania wanaiba mizigo halafu wanasingizia kuwa wamekutafuta na hupatikani,kwa hiyo wanakwambia huo mzigo umepelekwa sijui CUSTOMS, wakati mzigo wako una anwani zote,ikiwepo barua pepe na namba za simu.yashanitokea.bora utumie EMS.tangia nitumie EMS hakuna hata parcel yangu moja iliyopotea.wanaiba hasa parcel zinazotoka england.be careful.
 



Nakubaliana na wewe mkuu, hao jamaa ni wezi hata mimi waliniliza iphone yangu.
 

Nakubaliana na wewe mkuu, hao jamaa ni wezi hata mimi waliniliza iphone yangu.

Wakuu naitaji kutuma simu hivi kutoka UK je inakuwaje hasa upande wa usafirishaji kuna watu wowote ambao wanasafirisha mizigo???Maana na DHL wanaiba kama mlivyosema kuna njia yoyote ya haraka??
 
EMS unajiunga nao vipi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…