Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ndugu yangu hao DHL Tanzania wanaiba mizigo halafu wanasingizia kuwa wamekutafuta na hupatikani,kwa hiyo wanakwambia huo mzigo umepelekwa sijui CUSTOMS, wakati mzigo wako una anwani zote,ikiwepo barua pepe na namba za simu.yashanitokea.bora utumie EMS.tangia nitumie EMS hakuna hata parcel yangu moja iliyopotea.wanaiba hasa parcel zinazotoka england.be careful.

Nakubaliana na wewe mkuu, hao jamaa ni wezi hata mimi waliniliza iphone yangu.
EMS unajiunga nao vipi?ndugu yangu hao DHL Tanzania wanaiba mizigo halafu wanasingizia kuwa wamekutafuta na hupatikani,kwa hiyo wanakwambia huo mzigo umepelekwa sijui CUSTOMS, wakati mzigo wako una anwani zote,ikiwepo barua pepe na namba za simu.yashanitokea.bora utumie EMS.tangia nitumie EMS hakuna hata parcel yangu moja
iliyopotea.wanaiba hasa parcel zinazotoka england.be careful.