Ofisi za Halmashauri ya Wilaya ya Kisarawe nazo zingehamia kijijini

wakyl

Member
Joined
Mar 24, 2017
Posts
40
Reaction score
85
Katika kutekeleza agizo la Mheshimiwa Rais wetu la kusogeza huduma karibu na Wananchi, mimi nashauri Halmashauri ya Kisarawe nayo ihamie kijijini maana ipo mbali sana na vijiji inavyovihudumia.

Ofisi za halmashauri hii zingetumika kuunda Halmashauri mpya ya Pugu au Chanika iwe chini ya Jiji la Dar es salaam na halmashauri za Wilaya ya Kisarawe zipelekwe kijiji cha Masaki au Mwanarumango.

Ni matumaini yangu haya mapendekezo yatawafanyiwa kazi na TAMISEMI chini ya Waziri Jafo, Mbunge wetu wananchi wako wanateseka kufuata huduma muhimu mbali Kisarawe.

Nawasilisha
 
agizo lilikuwa Halmashauri ambazo Makao Makuu yake yapo nje ya maeneo ya Halmashauri husika kiutawala na sio kuhamisha Halmashauri ndani ya maeneo yake ya utawala yaende vijijini, kama suala Halmashauri ziende vijijiji basi nadhani asilimia karibu asilimia 80 za Halmashauri zote nchini zinapaswa zihame na watenge bajeti ya kujenga na kuhamisha na baada ya miaka mitano pakichangamka wahamie vijiji vingine.
 
Hujaelewa mtoa mada pata muda kutafakari mzeee
 
Katika kutekeleza agizo la Mheshimiwa Rais wetu la kusogeza huduma karibu na Wananchi, mimi nashauri Halmashauri ya Kisarawe nayo ihamie kijijini maana ipo mbali sana na vijiji inavyovihudumia.

Ofisi za halmashauri hii zingetumika kuunda Halmashauri mpya ya Pugu au Chanika iwe chini ya Jiji la Dar es salaam na halmashauri za Wilaya ya Kisarawe zipelekwe kijiji cha Masaki au Mwanarumango.

Ni matumaini yangu haya mapendekezo yatawafanyiwa kazi na TAMISEMI chini ya Waziri Jafo, Mbunge wetu wananchi wako wanateseka kufuata huduma muhimu mbali Kisarawe.

Nawasilisha

[emoji29]
 
Back
Top Bottom