Ofisi za mamlaka ya mapato Tanzania (TRA ) kuwa wazi tarehe 30 NA 31 December, 2023

dawa ya deni ni kulipa sasa wewe unataka uwe unakimbia kusubiri Mh Raisi aseme usilipe hatuendi hivo , wewe lipa ili tupate maendeleo au unaona raha sisi wengine tunalipa wewe unakwepa. Mimi nadhani ifike mahali sasa kila mtu awajibike sehemu yake ,serikali iwe wakali ili kodi ikusanywe na sisi tulipoe kodi ili tuibane serikali maendeleo.sasa kama hatutaki lipa halafu tulalamika maendeleo hakuna hii itakuwa siyo sawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…