A
Anonymous
Guest
Nilijiandikisha na kupata Namba ya NIDA Mwaka 2020 nikaenda kufuatilia kitambulisho Mwaka 2022 nikaambiwa bado nikarudi Disemba 2025 nikaambiwa bado nilipohoji kwanini inachukua muda mrefu kiasi hicho nikaambiwa itakuwa kilisahaulika.
Sasa inawezekana vipi taarifa zilizopo kwenye mfumo zisahaulike nikaambiwa linashughulikiwa nitapata ujumbe kikiwa tayari hadi leo sijapata chochote na hii inarudisha nyuma shughuli za kiuchumi kwani katika maombi ya kazi au hata huduma za taasisi mbalimbali zinahitaji kitambilisho cha taifa.
Naomba mamlaka husika ifuatilie kwani ni muda mrefu sana.
Pia soma ~ Ofisi za NIDA Ilemela - Mwanza kuna uzembe kwenye utoaji Vitambulisho vya Taifa, Mamlaka zifuatilie