Ofisi za NIDA Makao Makuu hawaruhusu kurekebisha mwaka wa kuzaliwa uliokosewa

orcalo

New Member
Joined
Jul 21, 2016
Posts
1
Reaction score
0
Ikumbukwe Kuwa Mheshimwa Raisi alitoa muda wa mwaka Mzima kwa wananchi waliokosea taarifa zao NIDA zirekebishwe.

Lakini cha ajabu NIDA Amekaidi kurekebisha mwaka wa kuzaliwa tuu wanaweka mazingira Magumu Kama kihitisha cheti cha darasa la 7 nk.

Nahisi haya ni mazingira ya Rushwa Kama Rais ameruhusu kwanini muweke vipengele vigumu?

Mtu wa 80 atapata wapi cheti cha darasa la 7?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…