taarifa za nida

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Fedha-Khamis: NIDA kuanza kutoza Tsh. 1,000 kwa Wananchi wanaohitaji Nakala ya Taarifa zao

    Waziri wa Fedha, Balozi Khamis Mussa Omar, akiwasilisha Mapendekezo ya Bajeti Kuu ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2026/27 bungeni leo, ametangaza mabadiliko makubwa katika utoaji wa huduma za Mamlaka ya Usajili na Utambuzi wa Watu (NIDA), ikiwemo kuanza kutoza ada kwa wananchi na taasisi...
  2. O

    JamiiForums Tanzania Ofisi za NIDA Makao Makuu hawaruhusu kurekebisha mwaka wa kuzaliwa uliokosewa

    Ikumbukwe Kuwa Mheshimwa Raisi alitoa muda wa mwaka Mzima kwa wananchi waliokosea taarifa zao NIDA zirekebishwe. Lakini cha ajabu NIDA Amekaidi kurekebisha mwaka wa kuzaliwa tuu wanaweka mazingira Magumu Kama kihitisha cheti cha darasa la 7 nk. Nahisi haya ni mazingira ya Rushwa Kama Rais...
  3. Termux

    JamiiForums Tanzania Je, NIDA ni haki yako? Je, kwanini huruhusiwi kupata taarifa za NIDA yako ukienda kuomba?

    Ndiyo, NIDA ni haki yako kama raia, kwa sababu taarifa za utambulisho wa taifa ni sehemu ya haki zako za msingi za kutambuliwa kisheria na kupata huduma mbalimbali za kijamii na kiuchumi kupitia NIDA. Kupitia NIDA unaweza kupata Namba ya Utambulisho wa Taifa (NIN), kufungua akaunti ya benki...
  4. P

    JamiiForums Tanzania Vigezo vya kazi unaambiwa uwe na NIDA lakini eti uwe pia na barua za wadhamini, ya nini sasa wakati taarifa zipo NIDA?

    Mimi kuna kitu huwa kinanichanganya hususani katika suala la kuomba kazi utaambiwa vigezo ni namba za Nida au kitambulisho cha taifa lakini bado utaambiwa ulete barua mbili za wadhamini.. Sasa mimi huwa najiuliza ikiwa tayari umeambatanisha namba zako za Nida barua za wadhamini ni za kazi gani...
Back
Top Bottom