Ofisi za NIDA mkoa wa Mbeya mjirekebishe, msijione mmeyaweza Maisha

Kuna bwa mdogo mmoja pale naona huwa anatengeneza mazingira ya rushwa kuna siku lazima achomeshwe na wachukia rushwa.
 

Hawajamaa hawafahi mkuu kuna siku nilienda pale nikakutana na kajamaa furani ivi, kembamba kafupi kana ndevu zisizo na ushirikiano kana majibu ya shombo sana

sijuhi kanalingia nini kwanza kanaonekana maisha yake yenyewe magumu, ila kanavyo jimwambafahi sasa;
 
Wewe sio wa kwanza hata Mbosso alizitaja sifa za Afisa wa NIDA. Labda kama Sasa wameziongeza maradufu.
Bila shaka kwa sasa wameziongeza Maana si kwa kujiona huko.
 
Wao wanavyo ona watu wanahangaikia huduma hiyo nao wanaona ni muda wa kuwanyanyasa hata bila sababu ya Maana.
 
NIDA ni janga sema ndio hivyo nchi yenyewe hii imejaa viongoz wasiojielewa
 
Ungeenda wa report kwa boss wao

Ova
 
Kumbe hawa jamaa wako hivi Asante kwa huu uzi kunijulisha Siku nikienda kufata kitambulisho changu Nida nitaenda na gwanda tuone kama wataniletea mapozi


Baada ya miezi kadhaa nitarudi kwenye huu uzi kukupa mrejesho
 
Hawa Nida Rais awatumbue kuanzia Taifa hadi mkoani ni wapuuzi Sana
 
Mimi nina haiba ya kuwa serious mno, sipatagi hayo majanga maana wangenyooka
 
Hi mishahara wanayopata na kuwafanya waende t...oilet inatokana na kodi za wananchi
Hawajui kabisa wajibu wao baadhi ya wafanyakazi wa tAsisi za umma

Ova
 
Kumbe hawa jamaa wako hivi Asante kwa huu uzi kunijulisha Siku nikienda kufata kitambulisho changu Nida nitaenda na gwanda tuone kama wataniletea mapozi


Baada ya miezi kadhaa nitarudi kwenye huu uzi kukupa mrejesho
Ngoja tusubiri mrejesho baada ya kwenda NIDA.
Tupo kusubiri
 
Ahsante kwa taarifa sehem Kama hyo nikienda nitapelekwa lokapu.
 
Mimi nina haiba ya kuwa serious mno, sipatagi hayo majanga maana wangenyooka
Naona nawao wanafanya hayo kwa kumtizama Mtu yaani furaha yao kumuhangaisha mara aondoke arudi siku nyingine wakati hakuna hata sababu ya Maana kumfanyia hivyo Mtu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…