Ofisi za NIDA mkoa wa Mbeya mjirekebishe, msijione mmeyaweza Maisha

Hi mishahara wanayopata na kuwafanya waende t...oilet inatokana na kodi za wananchi
Hawajui kabisa wajibu wao baadhi ya wafanyakazi wa tAsisi za umma

Ova
Hawa ni jipu inapaswa wajirekebishe kabisa maana watu wengi wanateswa na hawa watu.
 
Naona nawao wanafanya hayo kwa kumtizama Mtu yaani furaha yao kumuhangaisha mara aondoke arudi siku nyingine wakati hakuna hata sababu ya Maana kumfanyia hivyo Mtu.
Ndugu mtu akikusumbua kwenye huduma,usibishane nae,nenda kwa bosi wake akusaidie maana ndio mwenye ofisi . Wakikuona unaenda kwa bosi wao watakukimbilia.
 
Madhala ya ajira za kubebwa,hao ni vilaza tu,kinachowapa kiburi ni hako kamshara ka serikali na vimikopo,wakifikuzwa kazi hao,hawana ujanja hata jicho la tatu wanaweza kutoa Ili waiiishi,
Very stupid,mijitu kama hiyo utaikuta,TRA,na ofisi nyingi za serikali.
 
Kweli kabisa hawa watu walio sehemu hiyo basi wanajiona wameweza yaani hata kumuelekeza mteja ni shida kwao.
 
Nilienda ofisi moja ya nida kuangalia namba Yangu nin kama imetoka, security wakaniambia nivae barakoa kabla cjaingia ofisini, wakati wao wenyewe hawajavaa barakoa..it meant hadi ninunue tena barakoa

Nilighairi kila kitu, nilirudi nlikotoka nliwaacha na minamba yao
 
Yaaani hao makuda sina hamu nao nnawachukia balaaa walinifanya niwaze mbali sana yani kiujumla wafanyakazi wa ofis za mbeya pale wanajiskia sana .
Eniwei nimewamark vzur sna ama zangu ama zao
 
Naona nawao wanafanya hayo kwa kumtizama Mtu yaani furaha yao kumuhangaisha mara aondoke arudi siku nyingine wakati hakuna hata sababu ya Maana kumfanyia hivyo Mtu.
Ungekuwa una muonekano wa kipedeshee pengine wabgekuachia hawa wanaangalia watu na watu
 
Wao wakwanza kuvunja sheria wanazo weka harafu wanataka wengine wafuate.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…