Ofisi za polisi sio ofisi za taaluma kama ilivyo kwa wenzetu.

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
15,749
Reaction score
37,420
Ukifika pale kituo cha msimbazi kariakoo sana sana labda vyumba vya wakubwa ila wote waliobaki ni kama ofisi za walimu Temesa walivyo.

Uwezi kuelewa kompyuta inakaa wapi,foil ya chips na vidari vya nani,madaftari ya mwanafunzi gani yani vurugu tupu.

Huko nje yani utazani vijiwe vya kahawa na unaweza shangaa gari zilizopo hapo kituoni vipuri vikapotea.
 
Police wangekuwa na elimu kubwa tungekuwa na katiba mpya
 
Reactions: Fbn
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…