Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pembeni la Benki ya NMB Magomeni ndio ofisi hizo zipo.Poleni na majukumu wakuu. Tafadhali naomba kujua sehemu ambayo TAKUKURU wilaya ya Kinondoni Ina ofisi zake kwani ningependa kuzitembelea wanisaidie matatizo yangu.
pale panaitwa usalama mkuuPembeni la Benki ya NMB Magomeni ndio ofisi hizo zipo.
Nadhani ni jengo moja na Benki hiyo iliyopo barabara ya Morogoro(road) mita Kama 100 baada ya mataa ya magomeni hospital unapokuwa unaenda ubungo na ni upande wa kulia
Yeah thanks mkuu nilisahau hilo jinapale panaitwa usalama mkuu
Vp inzi wa kijani bado wanatembeza rushwa nije na pingu....!!?Poleni na majukumu wakuu. Tafadhali naomba kujua sehemu ambayo TAKUKURU wilaya ya Kinondoni Ina ofisi zake kwani ningependa kuzitembelea wanisaidie matatizo yangu.
Shukran sanaMakabala na kitua cha mwendo kasi Magomeni Mapipa.