Librarian 105
JF-Expert Member
- May 6, 2023
- 261
- 356
Mkuu hapo huoni kuwa tunakuza ukubwa wa tatizo badala ya kutatua?!Mjini kila mtu ananamna yake ya kuishi wewe fanya yako hayo mengine achana nayo.
Matatizo ni fursa.Mkuu hapo huoni kuwa tunakuza ukubwa wa tatizo badala ya kutatua?!
Kwa mantiki hiyo hata kuminywa demokrasia au madai ya katiba mpya ni fursa mkuu?Matatizo ni fursa.
Ni fursa kwa wanasiasa japokua inaathiri wote bila ya kujali umehusika ktk maamuzi ama haujahusika. Kimsingi suala la demokrasia na katiba ni pana na nyeti kuliko la vibali vya ma Dc kwa waomba misaada!Kwa mantiki hiyo hata kuminywa demokrasia au madai ya katiba mpya ni fursa mkuu?
Kweli. Ila hoja yangu bado sijapata majibu. Najiuliza,kama ni fursa, ni fursa kwa nani?Ni fursa kwa wanasiasa japokua inaathiri wote bila ya kujali umehusika ktk maamuzi ama haujahusika. Kimsingi suala la demokrasia na katiba ni pana na nyeti kuliko la vibali vya ma Dc kwa waomba misaada!
Umemaliza.Mjini kila mtu ananamna yake ya kuishi wewe fanya yako hayo mengine achana nayo.