Ofisini kwetu wananifanya mimi kituko

Cha msingi waambie hupendi habari za kijinga,wanakuchukulia POA,kaa kimya usiongee Sana na wao
 
Yaani wamgeuze kichekesho aendelee kuumia moyoni ili mpuuzi mmoja afurahi? hahahh haya mambo hayatokuja kunitokea mimi. Hiyo michongo unayosema haipo wala haitotokea jamaa ataishia kudharauliwa tu hayo ndio malipo kama asiposimama kiume.
 
Pole sana. Kuna mwerevu mmoja aliwahi kusema "Chuki zao zipo katika utani wao". Zingatia hilo utakuja kunishukuru baadae.
 
Ukinyoosha kidole Cha kati ,vingine umekunja hawarudii tena
 
Point tupu mtoa mada pitia hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…