Nimwahi kusikia miaka ya nyuma kuwa kuna dawa za mapenzi za kihaya moja inaitwa UGENDE UGARUKE nyingine SHUNTAMA ambazo akina dada huwa wanatumia kuwapumbaza Wanaume kimapenzi ili wawapende sana.
Kwa wale walio na uelewa wowote wa mambo haya, je kuna ukweli wowote au ushuhuda? Au ni hadithi za hekaya za Abunuasi?
Nawakilisha.
UGENDE-UGARUKE...Yaani utaenda...na utarudi mwenyewe, bila kulazimishwa!...ha..ha..haaa!
Nadhani dawa hiyo ni mbaya sana, kwa mwanandoa simshauri akae jirani hayo...lol!
Du! Mkuu ndo unanifungua macho sasa.
Ina maana ukipewa hiyo wewe lazima utakuwa unarudi tu kwa huyo Dada aliyekupa. Ama?
MJ1 ukishakuwa mhanga wa hayo 'madudu' huwezi kujua maana sasa si utakuwa unapelekeshwa tu kama mkweche unaovutwa na brekidauni?
Na aliyekufanyia je? anapata raha gani kuishi na wewe akijua si akili zako?
Si anakuchuna tu mama?Na aliyekufanyia je? anapata raha gani kuishi na wewe akijua si akili zako?
Na aliyekufanyia je? anapata raha gani kuishi na wewe akijua si akili zako?
Huwezi mkwepa kaka!...Utajizungusha siku mbili tatu, lakini wapi, utaona yeye ndo nambari wani! Yeye hata ukimtukana wala hachukii, anajua huna option zaidi ya kumrudia!
Ni soo hizo dawa babaake! Ama kweli Mungu aliumba mimea ya ajabu sana, maana hii ni mimiea pyua, haichanganywi na kitu wala ndumba yoyote...lol!
Du, Mkuu Yussuf kumbe neno 'limbwata' maana yake ni jina la mnyama? mmmhhh wanaume tunakula mengi!nami ndo kwanza leo kusikia hayo ya miti huku kwetu tuna kinyama kidogo cha ngombe au chochote kinavumbikwa ktk uchi wa mwanamke na kulishwa kazi yake ndo km hiyo kinaitwa limbwata.