Ogopa kununua vitu used hovyo kipindi hiki utauziwa vitu vya marehemu

Kuna watu walikuwa wanawavua viatu marehemu,wale waliopigwa risasi .

Kama mtu kafa na kiatu kizuri, simu nzuri ,saa ,wallet,pete nk vibaka walikuwa wanawavua kisha wanaenda kuviuza.

Epuka sana hii kitu usije ukasumbuliwa na roho za marehemu bure ,mikosi isiyokwisha
Hata wale nyonya damu wanaweza kutengeneza mradi mpya wakuwatafuta walio nunua vitu hivyo na kuwapa kesi kama sio za mauaji ni za uporaji wa kutumia manati!
 
Kuna watu walikuwa wanawavua viatu marehemu,wale waliopigwa risasi .

Kama mtu kafa na kiatu kizuri, simu nzuri ,saa ,wallet,pete nk vibaka walikuwa wanawavua kisha wanaenda kuviuza.

Epuka sana hii kitu usije ukasumbuliwa na roho za marehemu bure ,mikosi isiyokwisha
😂😂
 
Hivi ukinunua kitu cha marehemu bila kujua kumbe inaweza kukusumbua ?mbona sasa nguo l, mafriji na mazaga mengi used mengine hua ya marehem wa ulaya mbona hua hatupati madhara tukinunua hebu tuweke sawa hapo mtanashati
 
Huyo marehemu wa kunisumbua wakati sijui ni mali ya dhulma basi atakuwa mpuuzi
 
Hivi watu mnajua maana ya maneno KILA MTU?!
I know you're a troll, labda ungefocus on the topic rather than being negative.

And this is not the case here, I've seen you in different platforms.. Guess you're getting used to it.

Suit yourself, troll!
 
Negative? Kuuliza swali ni kuwa negative?

Chill mkuu
 
Back
Top Bottom