Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 25,968
- 36,044
Hiyo roho imedhulumiwa bado inatanga tanga.Siungi mkono kinachofanywa na hao watu kwa maiti. Huo ni ushetani. Ila nawe acha imani za kishirikina.
Hata wale nyonya damu wanaweza kutengeneza mradi mpya wakuwatafuta walio nunua vitu hivyo na kuwapa kesi kama sio za mauaji ni za uporaji wa kutumia manati!Kuna watu walikuwa wanawavua viatu marehemu,wale waliopigwa risasi .
Kama mtu kafa na kiatu kizuri, simu nzuri ,saa ,wallet,pete nk vibaka walikuwa wanawavua kisha wanaenda kuviuza.
Epuka sana hii kitu usije ukasumbuliwa na roho za marehemu bure ,mikosi isiyokwisha
Kabisa yani.Hata wale nyonya damu wanaweza kutengeneza mradi mpya wakuwatafuta walio nunua vitu hivyo na kuwapa kesi kama sio za mauaji ni za uporaji wa kutumia manati!
😂😂Kuna watu walikuwa wanawavua viatu marehemu,wale waliopigwa risasi .
Kama mtu kafa na kiatu kizuri, simu nzuri ,saa ,wallet,pete nk vibaka walikuwa wanawavua kisha wanaenda kuviuza.
Epuka sana hii kitu usije ukasumbuliwa na roho za marehemu bure ,mikosi isiyokwisha
Simu...!
Ila unaunga mkono watu kupigwa risasi za kichwa au sio?Siungi mkono kinachofanywa na hao watu kwa maiti. Huo ni ushetani. Ila nawe acha imani za kishirikina.
Vipi na hizi simu za nenga tronics zinafaa kununua? Maana sasa hivi kila mtu ana iphone 17..
I know you're a troll, labda ungefocus on the topic rather than being negative.Hivi watu mnajua maana ya maneno KILA MTU?!
I know you're a troll, labda ungefocus on the topic rather than being negative.
And this is not the case here, I've seen you in different platforms.. Guess you're getting used to it.
Suit yourself, troll!
We endelea na hiyo behavior, no one will tell you but atleast nimekwambia.. and I've got to be thankful for that.Negative? Kuuliza swali ni kuwa negative?
Chill mkuu