Ogopa mambo haya matatu!

Tafsiri ya umaskini, dhambi na ujinga ni ukiwa umekaa kona gani?
 
Kwa nini usioe mke mwingine au wengine hata kumi
Wengi wetu uchumi hauruhusu,kuoa mke wa pili.., lakini ni ukweli usiopingika kwamba mwanaume aliyekamilika huwezi kutosheka na mke mmoja,labda huwe masikini hoehae,..hii dhambi ya uzinzi huwezi kuiruka..,hata wewe nafikiri huu mtego unaweza kukunasa,
 
Wengi wetu uchumi hauruhusu,kuoa mke wa pili.., lakini ni ukweli usiopingika kwamba mwanaume aliyekamilika huwezi kutosheka na mke mmoja,labda huwe masikini hoehae,..hii dhambi ya uzinzi huwezi kuiruka..,hata wewe nafikiri huu mtego unaweza kukunasa,

Mimi huo mtego utaninasa Kwa sababu ya ubishi wa wanawake WA siku hizi kutaka kuoelewa mke mmoja.
 
Tafsiri ya umaskini, dhambi na ujinga ni ukiwa umekaa kona gani?

Hivi kizazi cha sasa kila kitu hakijui maana yake?

Ukiambiwa neno Simba utauliza tafsiri yake?
Ukiambiwa neno njaa utataka tafsiri?

Tafsiir ya kitu kulenga maana huzingatia zaidi maana ya Msingi/conceptual meaning/Denotative/Cognitive


Maana ya Msingi (conceptual meaning) Denotative / cognitive)
Hii ndio maana kuu ya neno isiyobadilika kutokana na mazingira.
 
Mkuu zaidi ya JF ni wapi kwingine naweza kuwa napata maandiko yako?
 
Taikon haujawai kuniangusha kwenye fasihi heshima kwako...maana kuna sehemu wanasema kama kazi yako dhambi unadhan malipo nini.
 
Naked Truth
Dhambi inaua.
Ogopa dhambi Kwa sababu ndio chanzo pekee cha uhakika cha kifo chako. Ili Binadamu afe kabla ya wakati wake basi itampasa afanye dhambi au mtu Fulani amtendee dhambi.

. Dhambi inakufanya utese wengine bila huruma.
Unaiba pesa za umma bila kujali huku raia wanakufa bila madawa. Unakuwa jambazi na kutoa roho za watu. Unazini unamtesa mkeo/mumeo.
Dhambi inakufanya usiwe na huruma na wengine.
 
Ukiwa muovu, mjinga na masikini wa Mawazo lazima Utaandika na kuwaita wengine Waovu wajinga na masikini.

Huyu bwana hana lelote lile zaidi ya kubandika Mawazo na Fikra hasi kwa Jamii.

Kuna umuhimu wa kumkwepa ama ata leta janga ndqni ya Jamii ya Waafrika na Watanzania.

Maneno maneno tu.

Mumusome kwa Tahadhari na Umakini. Muendleee kudadavua anachoandika.

Mwisho wa siku, mwisho wa bandiko huwa kuna sababu kuu ya bandiko lelote, liwe limeelekezwa kisiasq, kijamii, kiuchumi n.k

Msiogope kumuuliza maswali kama haya....

Anatoa wapi haya maneno?
Ana dhamira gani?
Alikuwa na sababu ipi kuu kubandika anayobandika?

Anamlenga nani?

Je haya anayo bandika yana manufaa gani? Je ni Chanya au Hasi?

Dadavua. Sio kila kitu kina manufaa.

Yeye kwake ni faraja kutukana hata pale inapoonekana hatukani.

Zuzu la Taikun.
 

πŸ™πŸΎπŸ™πŸΎ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…