Ziltan
JF-Expert Member
- Aug 20, 2011
- 2,672
- 6,880
Ogopa sana dhambi.
Noted Mkuu ROBERT HERIEL
Noted Mkuu ROBERT HERIEL
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe ww ndo shetani mwenyeweDhambi ni nini? Dhambi haina uwezo wa kuleta umasikini huu mtazamo wa kusema dhambi inaleta unasikini umeutoa wapi mkuu?
Acha wivu na uoga huyu ROBERT HERIEL YUPO NA KARAMAUkiwa muovu, mjinga na masikini wa Mawazo lazima Utaandika na kuwaita wengine Waovu wajinga na masikini.
Huyu bwana hana lelote lile zaidi ya kubandika Mawazo na Fikra hasi kwa Jamii.
Kuna umuhimu wa kumkwepa ama ata leta janga ndqni ya Jamii ya Waafrika na Watanzania.
Maneno maneno tu.
Mumusome kwa Tahadhari na Umakini. Muendleee kudadavua anachoandika.
Mwisho wa siku, mwisho wa bandiko huwa kuna sababu kuu ya bandiko lelote, liwe limeelekezwa kisiasq, kijamii, kiuchumi n.k
Msiogope kumuuliza maswali kama haya....
Anatoa wapi haya maneno?
Ana dhamira gani?
Alikuwa na sababu ipi kuu kubandika anayobandika?
Anamlenga nani?
Je haya anayo bandika yana manufaa gani? Je ni Chanya au Hasi?
Dadavua. Sio kila kitu kina manufaa.
Yeye kwake ni faraja kutukana hata pale inapoonekana hatukani.
Zuzu la Taikun.
Shetani ni mwema hajawahi kuwa mbaya ila akili za watu ndio mbaya watu wanafanya maovu halafu wanamsingizia shetani lakini wanasahau kuwa kuna mtu ameumba maovu dunianiKumbe ww ndo shetani mwenyewe
Sina wivu wowote. Woga ndio.Acha wivu na uoga huyu ROBERT HERIEL YUPO NA KARAMA
We mswahili SanaSina wivu wowote. Woga ndio.
Jamii inateketea. Unafikiri yeye mmoja?
Fungua bongo hilo na sio kutetea kila kitu cha Udhalimu.
Tofauti na wengi ambao wanasoma juu juu, nadosoa mabandiko yake na siyo yeye binafsi, Tatizo linakuja pale mauchwara, wapuuzi na mishetani invyofikiri kama Unavyofikiri wewe.
Kajitathmini. Huo wivu na yeye wa Nini? Hunijui, Hanijui, Hunijui...nachoelewa ni kudadavua. There is a lot of Dis-Information and one or some have to stand up.
Kuna uwezekano mkubwa Madada wanajinyonga, watu wanatelekeza Mama zao, Wake zao au Wazazi kwa sumu za huyu jamaa. Maadili na Tamaduni za Afrika na fikra zinaingiliwa. Simuachii mpaka kieleweke. Unajua Misogynist ni nini?
Hatuwezi kukubali(waafrika) kuingiliwa mpaka kwenye maadili yetu kwa mbinu kama hizi bila kusema kitu.
Jitathmini
Wewe msaga sumu, be usiniwekee vi thanks vya kinafiki.
Asante lakini, tutaelewana mbele.
Amani ikufikie Unywe chai bila bugudha.