Ogopa matapeli! Sajili za kisiasa zinaendelea Simba!Mwaka wa kufa nyani huu

Ogopa matapeli! Sajili za kisiasa zinaendelea Simba!Mwaka wa kufa nyani huu

Tabu iko palepale, uzuri kuna win win stuation.

Timu ikifanya vibaya hata wao baadhi ya biashara zao kama za jezi na viingilio uwanjani hupungua na viceversa is true.

Kwa sasa timu inahitaji wachezaji wa daraja la juu, sio majina makubwa halafu uwanjani sifuri.
 
Back
Top Bottom