Nimesikia taarifa kuwa wachezaji wawili Adebayor na Manzoki wamesajiliwa.
Nimeamini huyu mzee muhuni sana yeye na mwekezaji tapeli.
Unawezaje kusajili watu ambao hawachezi mpira kwa sasa?
Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app