C Cashman JF-Expert Member Joined Jun 8, 2018 Posts 3,017 Reaction score 5,294 Nov 11, 2023 #1 Nimesikia taarifa kuwa wachezaji wawili Adebayor na Manzoki wamesajiliwa. Nimeamini huyu mzee muhuni sana yeye na mwekezaji tapeli. Unawezaje kusajili watu ambao hawachezi mpira kwa sasa? Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
Nimesikia taarifa kuwa wachezaji wawili Adebayor na Manzoki wamesajiliwa. Nimeamini huyu mzee muhuni sana yeye na mwekezaji tapeli. Unawezaje kusajili watu ambao hawachezi mpira kwa sasa? Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
ukikaidi utapigwa2 JF-Expert Member Joined Feb 24, 2015 Posts 15,265 Reaction score 29,991 Nov 11, 2023 #2 Cashman said: Nimesikia taarifa kuwa wachezaji wawili Adebayor na Manzoki wamesajiliwa. Nimeamini huyu mzee muhuni sana yeye na mwekezaji tapeli. Unawezaje kusajili watu ambao hawachezi mpira kwa sasa? Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app Click to expand... Lakini hawa si ndio vipenzi vya mashabiki?
Cashman said: Nimesikia taarifa kuwa wachezaji wawili Adebayor na Manzoki wamesajiliwa. Nimeamini huyu mzee muhuni sana yeye na mwekezaji tapeli. Unawezaje kusajili watu ambao hawachezi mpira kwa sasa? Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app Click to expand... Lakini hawa si ndio vipenzi vya mashabiki?
R rodrick alexander JF-Expert Member Joined Feb 12, 2012 Posts 16,784 Reaction score 23,312 Nov 11, 2023 #3 ukikaidi utapigwa2 said: Lakini hawa si ndio vipenzi vya mashabiki? Click to expand... Sio Kila kipenzi cha mashabiki ni mchezaji Bora mfano Mkude, Ajib, shabalala
ukikaidi utapigwa2 said: Lakini hawa si ndio vipenzi vya mashabiki? Click to expand... Sio Kila kipenzi cha mashabiki ni mchezaji Bora mfano Mkude, Ajib, shabalala
K11 JF-Expert Member Joined Oct 15, 2014 Posts 3,447 Reaction score 11,274 Nov 11, 2023 #4 Tabu iko palepale, uzuri kuna win win stuation. Timu ikifanya vibaya hata wao baadhi ya biashara zao kama za jezi na viingilio uwanjani hupungua na viceversa is true. Kwa sasa timu inahitaji wachezaji wa daraja la juu, sio majina makubwa halafu uwanjani sifuri.
Tabu iko palepale, uzuri kuna win win stuation. Timu ikifanya vibaya hata wao baadhi ya biashara zao kama za jezi na viingilio uwanjani hupungua na viceversa is true. Kwa sasa timu inahitaji wachezaji wa daraja la juu, sio majina makubwa halafu uwanjani sifuri.
C Cashman JF-Expert Member Joined Jun 8, 2018 Posts 3,017 Reaction score 5,294 Nov 11, 2023 Thread starter #5 ukikaidi utapigwa2 said: Lakini hawa si ndio vipenzi vya mashabiki? Click to expand... Ujinga tu..hata Bocco alikuwa kipenzi cha mashabiki Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
ukikaidi utapigwa2 said: Lakini hawa si ndio vipenzi vya mashabiki? Click to expand... Ujinga tu..hata Bocco alikuwa kipenzi cha mashabiki Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app